Penuel Global Church

Karibu kwenye Uwepo wa Mungu

Jiunge nasi kwa maombi ya live, ibada, na mafundisho ya Neno la Mungu. Hapa tunamtukuza Yesu Kristo, tunajengwa kiroho, na tunatembea katika ushindi wa imani.

2026 • Mwaka wa Kufanyiwa Kicheko Mwanzo 21:6
“Mungu amenifanyia kicheko; kila atakayesikia atacheka pamoja nami.”
Rev. Bishop Mr & Mrs Luka Rwandiko Penuel Global Church • Winners Family

Winners Family

Ushirika wa waumini wenye upendo, maombi ya nguvu, ibada safi, na mafundisho yenye ufunuo. Tunakukaribisha ujiunge nasi leo.

Live Prayer

Jiunge kwenye maombi ya moja kwa moja na ushuhudie nguvu ya Mungu.

Open Live Room
Worship

Ibada inayogusa moyo na kukujaza uwepo wa Roho Mtakatifu.

Praise & Worship
Giving

Shiriki kujenga kazi ya Mungu kupitia sadaka, zaka, na michango.

Support Ministry

Edwin L. Japhet

Developer wa Mfumo Rasmi wa Penuel Global Church.
Chagua njia ya kuwasiliana hapa chini.

Funga